Global Publishers
April 19, 2026
0 Comments
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kwa kushirikiana na wakala binafsi wa ajira HAIBI inapenda kuwatangazia Watanzania wote kuhusu fursa za ajira nje ya nchi.
Kuna nafasi 1000 za wapishi wa kiume zinapatikana nchini Oman.
Sifa za mwombaji:
- Awe na uzoefu wa kazi ya upishi
- Awe na afya njema
- Awe tayari kufanya kazi nje ya nchi
- Awe na nidhamu na uwezo wa kufanya kazi kwa bidii
Faida:
- Mshahara mzuri
- Malazi yatatolewa
- Fursa ya kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa
Mwisho wa kutuma maombi:
21 Aprili 2026
