Simba, Yanga kuchuana vikali Mei 9, The Superdome


TUZO za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ambazo hutolewa ili kutambua mchango wa wanamichezo bora nchini, zimepangwa kutolewa Mei 9, 2026 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki uliopo jijini Dar es Salaam ikiwa ni msimu wa nne mfululizo tangu zilipoanza 2022.