Ibenge azikunjia uso Simba, Yanga Kombe la Muungano

KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, amezichimba mkwara timu tatu kubwa Simba, Yanga na Singida Black Stars akisema hawezi kukubali timu hiyo kuendelea kugeuka ngazi ya mafanikio. Azam leo itaanza mashindano ya Kombe la Muungano ikiikaribisha KVZ yenye mastaa wawili waliocheza Ligi Kuu Bara, Sixtus sabilo na Kelvin Kongwe Sabato, mchezo utakaopigwa Uwanja wa New…

Read More

Bashiri na Meridianbet Ushinde Samsung A26 Leo

KUPITIA promosheni kabambe ya Bet Online, mteja anaweza kujishindia simu janja aina ya Samsung A26 na kutimiza ndoto zake. Changamkia fursa leo hii ujinyakule zawadi hii kutoka Meridianbet. Katika msimu huu wa burudani na ushindani mkali ndani ya ulimwengu wa soka, Meridianbet imewasha moto mpya unaowapa wachezaji wote sababu ya kuongeza hamasa wanapotazama na kubashiri…

Read More

Barker aruka viunzi vitatu Simba

KUINGIA kwa Steve Barker ndani ya Simba kulikuja katika kipindi kigumu ambacho kilihitaji zaidi ya mabadiliko ya kawaida ya benchi la ufundi, ilikuwa ni hatua ya kuanza upya kwa timu iliyokuwa inapoteza mwelekeo huku presha kutoka kwa mashabiki na wadau wa soka ikiongezeka. Kocha huyo kutoka Afrika Kusini, aliwasili Desemba 2025, wakati msimu ukiendelea ambapo…

Read More

Nauli mpya kuanza rasmi Mei Mosi, Latra yaonya

Dar es Salaam. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini Tanzania (Latra) imetoa onyo kwa watoa huduma wanaotoza nauli mpya kabla ya muda rasmi, ikisema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Onyo hilo linakuja baada ya kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi, hasa wa jiji la Dar es Salaam, kwamba baadhi ya vyombo vya usafiri,…

Read More

Viongozi Wastaafu Washiriki Kufundisha Programu ya Uongozi ya Mawaziri

RAIS Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho, yuko Boston, Marekani ambapo anashiriki kutoa mafunzo kwa Mawaziri wakiwemo wa Fedha na wa Mipango kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Ngazi ya Mawaziri wa Harvard “Harvard Ministerial Leadership Program” inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard. Mheshimiwa Rais Mstaafu ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu…

Read More