Matarajio ya wananchi tume ya Jaji Chande ikikabidhi ripoti yake
Dar es Salaam. Baada ya kusubiriwa kwa takriban miezi mitano, hatimaye ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 itawekwa hadharani leo. Hatua hiyo ni baada ya tume hiyo iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan Novemba 20 mwaka jana kufanya uchunguzi wa…