Global Publishers
April 14, 2026
0 Comments
Mabingwa wa zamani wa UEFA Champions League, Barcelona na Liverpool, wanakabiliwa na mtihani mzito leo usiku wakisaka tiketi ya nusu fainali kupitia michezo ya kisasi ya robo fainali.
Barcelona wanashuka dimbani dhidi ya Atletico Madrid wakiwa nyuma kwa mabao 2-0, matokeo yaliyopatikana kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa katika dimba la Spotify Camp Nou.
Hali hiyo inaifanya Barcelona kuhitaji ushindi wa mabao zaidi ya mawili ili kusawazisha au kufuzu, jambo linaloweka presha kubwa kwa safu yao ya ushambuliaji inayoongozwa na Robert Lewandowski.
Kwa upande mwingine, Liverpool nao wanakabiliwa na kazi nzito mbele ya Paris Saint-Germain baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa mabao 2-0.
Mbingwa wakutoa Maokoto wametoa Odds Babkubwa unaachaje kuzifuata
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Liverpool wanahitaji angalau mabao matatu bila kujibu ili kufuzu moja kwa moja, au mawili kisha kusubiri mikwaju ya penalti, lakini hali yao ya sasa ya kushuka kiwango inawafanya wengi kuwa na mashaka juu ya uwezo wao wa kufanya hivyo.Jisajili
Kwa ujumla, usiku huu utakuwa wa maamuzi kwa Barcelona na Liverpool, ambapo wanahitaji kufanya kila linalowezekana ili kurejea kwenye ushindani, huku wapinzani wao Atletico Madrid na Paris Saint-Germain wakisaka kulinda faida yao na kufuzu hatua inayofuata.