Abdul Kakwaya atamba kufanya makubwa BDL
NYOTA wa kikapu, Abdul Kakwaya amesema kwa sasa anasikilizia timu itakayohitaji huduma yake huku akiendelea kujifua kwa ajili ya ligi ya DBL. Kakwaya ambaye ni nyota wa zamani wa Vijana ‘City Bulls’, amesema kwa sasa anajifua na DB Oratory pamoja na kufanya mazoezi binafsi kila siku ili kujiweka fiti. Amesema amekuwa akifanya mazoezi ya kukimbia…