UONGOZI wa TRA United kupitia mwenyekiti wake, Kamna Shomari umevunja ukimya na kuweka wazi kwamba hawana taarifa ya mchezaji wa timu hiyo, Ramadhan Salum ‘Chobwedo’ kusaini katika chama lingine kwani bado ana mkataba na watoza kodi.
Ishu ya Chobwedo, TRA iko hivi