Sekta binafsi yaibeba Tanzania mapinduzi ya kidijitali

Dar es Salaam. Mchango wa sekta binafsi katika uwekezaji wa miundombinu ya mawasiliano umeendelea kuwa nguzo kuu ya mageuzi ya kidijitali nchini huku Serikali ikikiri kuwa hatua hiyo imeongeza upatikanaji wa huduma na kufungua fursa mpya za kiuchumi. Kupitia uwekezaji katika ujenzi wa minara ya mawasiliano, uendeshaji wa mitambo na ubunifu wa huduma za kidijitali,…

Read More

Basi latumbukia mtoni Morogoro, 13 wajeruhiwa

Morogoro. Watu 13 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kutoka Ifakara kwenda Morogoro kuacha njia, kupinduka na kutumbukia mtoni. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Aprili 16, katika eneo la Daraja Na. 7, Kata ya Mikumi, wilayani Kilosa. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Andrew Kantimbo, chanzo…

Read More

Watoto wanne wafariki dunia Bukoba kwa kuangukiwa na ukuta

Bukoba. Watoto wanne wa familia mbili tofauti wamefariki dunia baada ya kuangukiwa na ukuta wa hoteli ulioporomoka kufuatia mvua kubwa iliyonyesha mapema alfajiri katika Mtaa wa Anyama, Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera. Tukio hilo limetokea leo Aprili 17, 2026 saa 11:00 alfajiri wakati watoto hao wakiwa wamelala majumbani mwao. Inadaiwa kuwa ukuta wa Hoteli ya…

Read More

Stanbic yajikita kuimarisha huduma za malezi Zanzibar

Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa kushirikiana na Save the Children pamoja na Benki ya Stanbic Tanzania, imezindua mradi wa “Adopt an ECD Centre” unaolenga kupanua upatikanaji wa huduma bora za Maendeleo ya Awali ya Mtoto (ECD) visiwani humo. Uzinduzi huo uliofanyika jana Aprili 16, 2026 katika ofisi za Wizara ya Elimu na Mafunzo…

Read More

Dkt. Mwigulu Awataka Watanzania Kudumisha Amani

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha amani na utulivu nchini akisisitiza kuwa mazingira ya amani ndiyo msingi muhimu unaowawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo na kukuza uchumi wa taifa. Amesema ni muhimu kwa wananchi kuwa makini na watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani, akibainisha kuwa baadhi yao hufanya hivyo kwa maslahi…

Read More